Luka 18:30
atapokea mengi zaidi wakati huu wa sasa, na kupokea uzima wa milele wakati ujao.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Who shall not receive manifold more in this present time, and in the world to come life everlasting.
In Context
Cross References
Matthew 12:32Tena, asemaye neno la kumpinga Mwana wa Mtu atasamehewa, lakini yule asemaye neno la kumpinga Roho Mtakatifu, hatasamehewa, wala katika ulimwengu huu, wala katika ulimwengu ujao.
Romans 6:21Sasa, mlipata faida gani siku zile kutokana na mambo yale ambayo mnayaonea aibu sasa? Maana, matokeo ya mambo haya ni kifo!