Luka 19:18
Mtumishi wa pili akaja, akasema: Mheshimiwa, faida iliyopatikana ni mara tano ya zile fedha ulizonipa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the second came, saying, Lord, thy pound hath gained five pounds.
In Context
19Naye akamwambia pia: Nawe utakuwa na madaraka juu ya miji mitano.
Cross References
Matthew 13:23Ile mbegu iliyopandwa katika udongo mzuri ni mfano wa mtu ausikiaye ujumbe huo na kuuelewa, naye huzaa matunda; mmoja mia, mwingine sitini na mwingine thelathini.”
Mark 4:20Lakini wengine ni kama zile mbegu zilizopandwa katika udongo mzuri. Hawa hulisikia hilo neno, wakalipokea, wakazaa matunda: wengine thelathini, wengine sitini na wengine mia moja.”