Luka 19:30
akawaambia: “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. Mtakapokuwa mnaingia kijijini, mtamkuta mwana punda amefungwa ambaye hajatumiwa na mtu. Mfungeni, mkamlete hapa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
31Kama mtu akiwauliza, kwa nini mnamfungua, mwambieni, Bwana ana haja naye.”
Cross References
Luke 22:8Hivyo Yesu akawatuma Petro na Yohane, akawaambia, “Nendeni mkatuandalie karamu ili tupate kula Pasaka.”