Luka 2:28
Simeoni alimpokea mtoto Yesu mikononi mwake huku akimtukuza Mungu na kusema:
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then took he him up in his arms, and blessed God, and said,
In Context
29“Sasa Bwana, umetimiza ahadi yako, waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani.
Cross References
Mark 9:36Kisha akamchukua mtoto mdogo, akamsimamisha kati yao, akamku mbatia, halafu akawaambia,
Luke 1:46Naye Maria akasema,
Luke 1:68“Asifiwe Bwana Mungu wa Israeli, kwani amekuja kuwasaidia na kuwakomboa watu wake.
Luke 2:20Wale wachungaji walirudi makwao huku wakimtukuza na kumsifu Mungu kwa yote waliyokuwa wamesikia na kuona; yote yalikuwa kama walivyokuwa wameambiwa.