Luka 2:40
Mtoto akakua, akazidi kupata nguvu, akajaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa pamoja naye.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
41Wazazi wa Yesu walikuwa na desturi ya kwenda Yerusalemu kila mwaka wakati wa sikukuu ya Pasaka.
Cross References
Luke 1:80Mtoto akakua, akapata nguvu rohoni. Alikaa jangwani mpaka alipojionyesha rasmi kwa watu wa Israeli.
Luke 2:52Naye Yesu akaendelea kukua katika hekima na kimo; akazidi kupendwa na Mungu na watu.