Luka 20:13
Yule mwenye shamba akafikiri: Nitafanya nini? Nitamtuma mwanangu mpenzi; labda watamjali yeye.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
12Akamtuma tena wa tatu; huyu naye, baada ya kumwumiza, wakamfukuza.
Cross References
Matthew 17:5Alipokuwa bado anasema hivyo, wingu jeupe likawafunika, na sauti ikasikika kutoka katika hilo wingu: “Huyu ni Mwanangu mpendwa, ninayependezwa naye, msikilizeni.”
John 1:34Mimi nimeona na ninawaambieni kwamba huyu ndiye Mwana wa Mungu.”
John 3:35Baba anampenda Mwana na amemkabidhi vitu vyote.