Luka 20:22
Basi, twambie kama ni halali, au la, kulipa kodi kwa Kaisari!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Is it lawful for us to give tribute unto Caesar, or no?
In Context
23Yesu alitambua mtego wao, akawaambia,
Cross References
Matthew 22:17Haya, twambie maoni yako. Je, ni halali au la, kulipa Kaisari?”
Acts 5:37Tena, baadaye, wakati ule wa kuhesabiwa watu, alitokea Yuda wa Galilaya. Huyu naye, aliwavuta watu wakamfuata; lakini naye pia aliuawa, na wafuasi wake wakatawanyika.