Luka 20:26
Hawakufaulu kumnasa kwa neno lolote pale mbele ya watu na hivyo wakakaa kimya wakilistaajabia jibu lake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
27Kisha Masadukayo, ambao husema kwamba wafu hawafufuki, wakamjia Yesu, wakasema:
Cross References
Matthew 22:22Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao.
Luke 13:17Alipokwisha sema hayo, wapinzani wake waliona aibu lakini watu wengine wote wakajaa furaha kwa sababu ya mambo yote aliyotenda.
Luke 20:39Baadhi ya wale walimu wa Sheria wakasema, “Mwalimu, umejibu vema kabisa.”
2 Timothy 3:8Watu hao huupinga ukweli kama vile Yane na Yambre walivyompinga Mose.