Luka 20:41
Yesu akawauliza, “Yasemekanaje kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he said unto them, How say they that Christ is David’s son?
In Context
40Walisema hivyo kwa sababu hawakuthubutu kumwuliza tena maswali mengine.
42Maana Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia
Cross References
Matthew 1:1Yesu Kristo alikuwa mzawa wa Daudi, mzawa wa Abrahamu. Hii ndiyo orodha ya ukoo wake:
Mark 12:35Wakati Yesu alipokuwa akifundisha Hekaluni, aliuliza, “Mbona walimu wa Sheria wanasema ya kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?
John 7:42Maandiko Matakatifu yasemaje? Yanasema: Kristo atatoka katika ukoo wa Daudi, na atazaliwa Bethlehemu, mji wa Daudi!”
Romans 1:3Hii Habari Njema inamhusu Mwana wa Mungu, Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye mintarafu ubinadamu wake, alikuwa mzawa wa Daudi;