Luka 20:43
mpaka niwafanye adui zako kama kiti cha kuwekea miguu yako.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Till I make thine enemies thy footstool.
In Context
42Maana Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia
44Ikiwa Daudi anamwita yeye, Bwana, basi atakuwaje mwanawe?”
Cross References
Revelation 19:14Majeshi ya mbinguni yalimfuata yakiwa yamepanda farasi weupe na walikuwa wamevaa mavazi ya kitani, meupe na safi.