Luka 20:8
Yesu akawaambia, “Hata mimi sitawaambia ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Jesus said unto them, Neither tell I you by what authority I do these things.
In Context
7Basi, wakamwambia, “Hatujui mamlaka hayo yalitoka wapi.”
Cross References
Matthew 15:14Waacheni wenyewe! Wao ni vipofu, viongozi wa vipofu; na kipofu akimwongoza kipofu, wote wawili hutumbukia shimoni.”
Matthew 21:27Basi, wakamjibu, “Hatujui!” Naye Yesu akawaambia, “Nami pia sitawaambieni ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani.
Luke 22:68na hata kama nikiwaulizeni swali, hamtanijibu.