Luka 22:29
na, kama vile Baba yangu alivyonikabidhi Ufalme, vivyo hivyo nami nitawakabidhi ninyi Ufalme.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And I appoint unto you a kingdom, as my Father hath appointed unto me;
In Context
28“Ninyi ndio mliobaki nami wakati wote wa majaribu yangu;
Cross References
Matthew 25:34“Kisha Mfalme atawaambia wale walio upande wake wa kulia, Njoni enyi mliobarikiwa na Baba yangu; pokeeni Ufalme mliotayarishiwa tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Luke 12:32“Msiogope, enyi kundi dogo! Maana Baba yenu amependa kuwapeni Ufalme.
1 Corinthians 9:25Wanariadha hujipa mazoezi na nidhamu kali; hufanya hivyo ili wajipatie taji iharibikayo! Lakini sisi twafanya hivyo tupate taji ya kudumu daima.
2 Timothy 2:12Tukiendelea kuvumilia, tutatawala pia pamoja naye. Tukimkana, naye pia atatukana.
1 Peter 5:4Na wakati Mchungaji Mkuu atakapotokea, ninyi mtapokea taji ya utukufu isiyofifia.