Luka 22:51
Hapo, Yesu akasema, “Acha! Hii inatosha.” Akaligusa sikio la mtu huyo akaliponya.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Jesus answered and said, Suffer ye thus far. And he touched his ear, and healed him.
In Context
50Na mmoja wao akampiga upanga mtumishi wa Kuhani Mkuu, akamkata sikio lake la kulia.
Cross References
John 18:8Yesu akawaambia, “Nimekwisha waambieni kwamba mimi ndiye. Basi, kama mnanitafuta mimi, waacheni hawa waende zao.”
Romans 12:21Usikubali kushindwa na ubaya, bali ushinde ubaya kwa wema.
1 Peter 2:21Hayo ndiyo mliyoitiwa; maana Kristo mwenyewe aliteseka kwa ajili yenu, akawaachieni mfano, ili muufuate mwenendo wake.