Luka 22:69
Lakini tangu sasa, Mwana wa Mtu atakuwa ameketi upande wa kulia wa Mungu Mwenyezi.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Hereafter shall the Son of man sit on the right hand of the power of God.
In Context
68na hata kama nikiwaulizeni swali, hamtanijibu.
Cross References
Matthew 26:64Yesu akamwambia, “Wewe umesema! Lakini nawaambieni, tangu sasa mtamwona Mwana wa Mtu ameketi upande wa kulia wa Mwenyezi, akija juu ya mawingu ya mbinguni.”
Mark 16:19Basi, Bwana Yesu alipokwisha sema nao, akachukuliwa mbinguni, akaketi upande wa kulia wa Mungu.
Acts 7:55Lakini Stefano akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, akatazama juu mbinguni, akauona utukufu wa Mungu na Yesu amekaa upande wa kulia wa Mungu.
Ephesians 1:20aliyomfufua nayo Kristo kutoka wafu, akamketisha kulia kwake mbinguni.
Colossians 3:1Basi, ikiwa mmefufuka pamoja na Kristo, panieni mambo ya juu, kule Kristo aliko, ameketi upande wa kulia wa Mungu.