Luka 24:13
Siku hiyohiyo, wawili kati ya wafuasi wake Yesu wakawa wanakwenda katika kijiji kimoja kiitwacho Emau, umbali wa kilomita kumi na moja kutoka Yerusalemu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
14Wakawa wanazungumza juu ya hayo yote yaliyotukia.
Cross References
Luke 24:18Mmoja, aitwaye Kleopa, akamjibu, “Je, wewe ni mgeni peke yako Yerusalemu ambaye hujui yaliyotukia huko siku hizi?”