Luka 24:16
Walimwona kwa macho, lakini hawakumtambua.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But their eyes were holden that they should not know him.
In Context
15Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao.
Cross References
Luke 24:31Mara macho yao yakafumbuliwa, wakamtambua; lakini yeye akatoweka kati yao.
John 21:4Kulipoanza kupambazuka, Yesu alisimama kando ya ziwa, lakini wanafunzi hawakujua kwamba alikuwa yeye.