Luka 24:33
Wakaondoka saa ileile, wakarudi Yerusalemu: wakawakuta wale mitume kumi na mmoja na wale wengine waliokuwa pamoja nao, wamekusanyika
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
34wakisema, “Hakika Bwana amefufuka, amemtokea Simoni.”
Cross References
Mark 16:13Nao pia wakaenda wakawaambia wenzao. Hata hivyo hawakuamini.
Acts 1:14Hawa wote walikusanyika pamoja kusali, pamoja na wanawake kadha wa kadha, na Maria mama yake Yesu, na ndugu zake.