Luka 24:41
Wakiwa bado katika hali ya kutosadiki kwa sababu ya furaha yao, na wakiwa wanastaajabu, akawauliza, “Mnacho chakula chochote hapa?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And while they yet believed not for joy, and wondered, he said unto them, Have ye here any meat?
In Context
40Baada ya kusema hayo, akawaonyesha mikono na miguu.
42Wakampa kipande cha samaki wa kuokwa.
Cross References
John 16:22Ninyi pia mna huzuni sasa; lakini nitawajieni tena, nanyi mtajaa furaha mioyoni mwenu, na furaha hiyo hakuna mtu atakayeiondoa kwenu.
John 21:10Yesu akawaambia, “Leteni hapa baadhi ya samaki mliovua.”