Luka 3:21
Watu wote walipokuwa wamekwisha batizwa, Yesu naye alibatizwa. Na alipokuwa akisali, mbingu zilifunguka,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
20Kisha Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani.
Cross References
Matthew 14:23Baada ya kuwaaga, alipanda mlimani peke yake kusali. Ilipokuwa jioni, yeye alikuwa huko peke yake,
Luke 5:16Lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko.
Luke 9:28Yapata siku nane baada ya kusema hayo, Yesu aliwachukua Petro, Yohane na Yakobo, akaenda nao mlimani kusali.
John 12:27“Sasa roho yangu imefadhaika, na niseme nini? Je, niseme: Baba, usiruhusu saa hii inifikie? Lakini ndiyo maana nimekuja—ili nipite katika saa hii.