Luka 5:39
Wala hakuna mtu ambaye hutamani kunywa divai mpya baada ya kunywa ya zamani, kwani husema: Ile ya zamani ni nzuri zaidi.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
No man also having drunk old wine straightway desireth new: for he saith, The old is better.
In Context
38Divai mpya hutiwa katika viriba vipya!
Cross References
Mark 7:7Kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.
Hebrews 11:1Kuwa na imani ni kuwa na hakika ya mambo tunayotumainia; kusadiki kabisa mambo tusiyoyaona.