Luka 5:7
Wakawaita wenzao waliokuwa katika mashua nyingine waje kuwasaidia. Wakaja, wakazijaza mashua zote mbili samaki, hata karibu zingezama.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
6Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika.
Cross References
Acts 11:25Kisha, Barnaba alikwenda Tarso kumtafuta Saulo
Galatians 6:2Saidianeni kubeba mizigo yenu na hivyo mtatimiza sheria ya Kristo.