Luka 6:15
Mathayo na Thoma, Yakobo wa Alfayo na Simoni (aliyeitwa Zelote),
Biblia Takatifu
In The King James Version
Matthew and Thomas, James the son of Alphaeus, and Simon called Zelotes,
In Context
16Yuda wa Yakobo na Yuda Iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti.
Cross References
Matthew 10:3Filipo na Bartholomayo, Thoma na Mathayo aliyekuwa mtoza ushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;
Mark 3:18Andrea na Filipo, Batholomayo, Mathayo, Thoma, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni Mkanani na
John 11:16Thoma (aitwaye Pacha) akawaambia wanafunzi wenzake, “Twendeni nasi tukafe pamoja naye!”
Acts 1:13Walipofika mjini waliingia katika chumba ghorofani ambamo walikuwa wanakaa; nao walikuwa Petro, Yohane, Yakobo, Andrea, Filipo na Thoma, Bartholomayo na Mathayo, Yakobo mwana wa Alfayo, Simoni Zelote na Yuda mwana wa Yakobo.
Galatians 1:19Lakini sikuwaona mitume wengine isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana.
James 1:1Mimi Yakobo, mtumishi wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo, nawaandikia ninyi, makabila kumi na mawili, yaliyotawanyika ulimwenguni! Salaam!