Luka 6:47
Nitawapeni mfano unaofaa kuonyesha alivyo yeyote yule anayekuja kwangu, akasikia maneno yangu na kuyatimiza:
Biblia Takatifu
In The King James Version
Whosoever cometh to me, and heareth my sayings, and doeth them, I will shew you to whom he is like:
In Context
46“Mbona mwaniita Bwana, Bwana, na huku hamtimizi yale ninayosema?
Cross References
Matthew 7:24“Kwa sababu hiyo, kila mtu anayeyasikia maneno yangu na kuyazingatia, anafanana na mtu mwenye busara, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba.
Matthew 12:50Maana yeyote anayefanya anavyotaka Baba yangu aliye mbinguni, huyo ndiye ndugu yangu, dada yangu na mama yangu.”
Luke 8:8Nyingine zilianguka katika udongo mzuri, zikaota na kuzaa asilimia mia.” Baada ya kusema hayo, akapaaza sauti, akasema, “Mwenye masikio na asikie!”
Luke 11:28Lakini Yesu akasema, “Lakini heri zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika.”
John 5:40Hata hivyo, ninyi hamtaki kuja kwangu ili mpate uzima.
John 6:37Wote anaonipa Baba watakuja kwangu; nami sitamtupa nje yeyote anayekuja kwangu,