Luka 6:9
Kisha Yesu akawaambia, “Nawaulizeni, je, ni halali siku ya Sabato kutenda jambo jema au kutenda jambo baya; kuokoa maisha au kuyaangamiza?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 12:12Mtu ana thamani kuliko kondoo! Basi, ni halali kutenda mema siku ya Sabato.”
Luke 9:56kwa maana Mwana wa Mtu hakuja kuyaangamiza maisha ya watu, bali kuyaokoa.” Wakatoka, wakaenda kijiji kingine.
John 7:19Je, Mose hakuwapeni Sheria? Hata hivyo, hakuna hata mmoja wenu anayeishika Sheria. Kwa nini mnataka kuniua?”