Luka 7:2
Huko kulikuwa na jemadari mmoja Mroma ambaye alikuwa na mtumishi wake aliyempenda sana. Huyu mtumishi alikuwa mgonjwa karibu kufa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And a certain centurion’s servant, who was dear unto him, was sick, and ready to die.
In Context
1Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu.
Cross References
Matthew 27:54Basi, jemadari na wale waliokuwa wakimlinda Yesu walipoona tetemeko la ardhi na yale mambo yaliyotukia, wakaogopa sana, wakasema, “Hakika mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu.”
Luke 23:47Hapo, yule jemadari alipoona yaliyotukia akamsifu Mungu akisema: “Hakika huyu alikuwa mtu mwema.”