Marko 1:37
Walipomwona wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when they had found him, they said unto him, All men seek for thee.
In Context
36Simoni na wenzake wakaenda kumtafuta.
Cross References
John 3:26Basi, wanafunzi hao wakamwendea Yohane na kumwambia, “Mwalimu, yule mtu aliyekuwa pamoja nawe ng'ambo ya Yordani na ambaye wewe ulimshuhudia, sasa naye anabatiza, na watu wote wanamwendea.”
John 12:19Basi, Mafarisayo wakaambiana, “Mnaona? Hatuwezi kufanya chochote! Tazameni, ulimwengu wote unamfuata.”