Marko 10:12
Na mwanamke anayemwacha mumewe na kuolewa na mwingine anazini.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And if a woman shall put away her husband, and be married to another, she committeth adultery.
In Context
11Naye akawaambia, “Anayemwacha mkewe na kuoa mwingine, anazini dhidi ya mkewe.
13Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea.
Cross References
1 Corinthians 7:11lakini kama akiachana naye, basi abaki bila kuolewa; ama la, apatanishwe na mume wake. Mume naye asimpe talaka mkewe.