Marko 10:25
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
26Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?”
Cross References
Matthew 7:3Kwa nini wakiona kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako?
Matthew 23:24Viongozi vipofu! Mnatoa nzi katika kinywaji, lakini mnameza ngamia!