Marko 10:27
Yesu akawatazama, akawaambia, “Kwa binadamu haiwezekani, lakini kwa Mungu si hivyo, maana kwa Mungu mambo yote huwezekana.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
26Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?”
28Petro akamwambia, “Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!”
Cross References
Matthew 19:26Yesu akawatazama, akasema, “Kwa binadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu mambo yote huwezekana.”
Luke 18:27Yesu akajibu, “Yasiyowezekana kwa binadamu, yanawezekana kwa Mungu.”
Hebrews 7:25Hivyo, yeye anaweza daima kuwaokoa kabisa wote wanaomwendea Mungu kwa njia yake, maana yeye anaishi milele kuwaombea kwa Mungu.