Marko 10:51
Yesu akamwuliza, “Unataka nikufanyie nini?” Huyo kipofu akamwambia, “Mwalimu, naomba nipate kuona.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
50Naye akatupilia mbali vazi lake, akaruka juu, akamwendea Yesu.
Cross References
Matthew 7:7“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni, nanyi mtafunguliwa.
Mark 10:36Yesu akawauliza, “Mnataka niwafanyie nini?”
John 20:16Yesu akamwambia, “Maria!” Naye Maria akageuka, akamwambia kwa Kiebrania, “Raboni” (yaani “Mwalimu”).