Marko 11:12
Kesho yake, walipokuwa wanatoka Bethania, Yesu aliona njaa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And on the morrow, when they were come from Bethany, he was hungry:
In Context
Cross References
Matthew 4:2Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.
Luke 4:2Huko alijaribiwa na Ibilisi kwa muda wa siku arubaini. Wakati huo wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia njaa.
John 4:31Wakati huohuo wanafunzi wake walikuwa wanamsihi Yesu: “Mwalimu, ule chakula.”
Hebrews 2:17Ndiyo maana ilimbidi awe kama ndugu zake kwa kila namna, ili awe Kuhani Mkuu wao aliye mwaminifu na mwenye huruma katika kumtumikia Mungu, ili dhambi za watu ziondolewe.