Marko 12:15
Lakini Yesu alijua unafiki wao, akawaambia, “Mbona mnanijaribu? Nionyesheni sarafu.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
16Wakamwonyesha. Naye akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.”
Cross References
Matthew 22:18Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi
Luke 20:23Yesu alitambua mtego wao, akawaambia,
John 21:17Akamwuliza mara ya tatu, “Simoni mwana wa Yohane! Je, wanipenda?” Hapo Petro akahuzunika kwa sababu alimwuliza mara ya tatu: “Wanipenda?” akamwambia, “Bwana, wewe wajua yote; wewe wajua kwamba mimi nakupenda.” Yesu akamwambia, “Tunza kondoo wangu!
1 Corinthians 10:9Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka.
Revelation 2:23Tena nitawaua wafuasi wake, ili makanisa yote yatambue kwamba mimi ndiye ninayechunguza mioyo na fikira za watu.