Marko 12:18
Masadukayo wasemao kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza,
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then come unto him the Sadducees, which say there is no resurrection; and they asked him, saying,
In Context
Cross References
Luke 20:27Kisha Masadukayo, ambao husema kwamba wafu hawafufuki, wakamjia Yesu, wakasema:
Acts 23:6Wakati huo Paulo alikwisha tambua kwamba sehemu moja ya wanabaraza wale ilikuwa ni Masadukayo na nyingine Mafarisayo. Basi, alipaaza sauti yake mbele ya Baraza: “Ndugu zangu, mimi ni Mfarisayo, mwana wa Mfarisayo. Mimi nimeletwa mahakamani kwa kuwa ninatumaini kwamba wafu watafufuka.”
2 Timothy 2:18Hawa wamepotoka kabisa mbali na ukweli, na wanatia imani ya watu wengine katika wasiwasi kwa kusema ati ufufuo wetu umekwisha fanyika.