Marko 12:38
Katika mafundisho yake, Yesu alisema, “Jihadharini na walimu wa Sheria ambao hupenda kupitapita wamejivalia kanzu ndefu na kusalimiwa na watu kwa heshima sokoni; hupenda kuketi mahali pa heshima katika masunagogi,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
39na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.
Cross References
Matthew 6:5“Mnaposali, msifanye kama wanafiki. Wao hupenda kusimama na kusali katika masunagogi na katika pembe za njia ili watu wawaone. Kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao.
Matthew 23:1Kisha Yesu akauambia umati wa watu pamoja na wanafunzi wake,
Luke 11:43“Ole wenu ninyi Mafarisayo, kwa sababu mnapenda kuketi mbele mahali pa heshima katika masunagogi, na kusalimiwa kwa heshima hadharani.
Luke 20:45Yesu aliwaambia wanafunzi wake mbele ya watu wote,