Marko 13:11
Nao watakapowatieni nguvuni na kuwapeleka mahakamani, msiwe na wasiwasi juu ya yale mtakayosema; saa ile itakapofika, semeni chochote mtakachopewa, maana si ninyi mtakaosema, bali Roho Mtakatifu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
10Lakini lazima kwanza Habari Njema ihubiriwe kwa mataifa yote.
Cross References
Matthew 10:19Basi, watakapowapeleka ninyi mahakamani, msiwe na wasiwasi mtasema nini au namna gani; wakati utakapofika, mtapewa la kusema.
Luke 12:11“Watakapowapeleka ninyi mbele ya masunagogi na mbele ya wakuu na watawala msiwe na wasiwasi juu ya jinsi mtakavyojitetea au jinsi mtakavyosema.
John 3:27Yohane akawaambia, “Mtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na Mungu.