Marko 13:17
Ole wao waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo!
Biblia Takatifu
In The King James Version
But woe to them that are with child, and to them that give suck in those days!
In Context
16Aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake.
18Ombeni ili mambo hayo yasitukie nyakati za baridi.
Cross References
Luke 21:23Ole wao waja wazito na wanyonyeshao siku hizo! Kwa maana kutakuwa na dhiki kubwa katika nchi, na hasira ya Mungu itawajia watu hawa.