Marko 13:5
Yesu akaanza kuwaambia, “Jihadharini msije mkadanganywa na mtu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Jesus answering them began to say, Take heed lest any man deceive you:
In Context
6Maana wengi watakuja wakilitumia jina langu, wakisema, Mimi ndiye! nao watawapotosha watu wengi.
Cross References
Matthew 24:4Yesu akawajibu, “Jihadharini msije mkadanganywa na mtu.
1 Corinthians 15:33Msidanganyike! Urafiki mbaya huharibu tabia njema.
Colossians 2:8Angalieni basi, mtu asiwapotoshe kwa udanganyifu mtupu wa hekima ya kibinadamu, ambayo chanzo chake ni mafundisho ya mapokeo ya watu na ya pepo watawala, na wala si Kristo mwenyewe!
1 John 4:1Wapenzi wangu, msimsadiki kila mtu asemaye kwamba ana Roho wa Mungu, bali chunguzeni kwa makini kama huyo mtu anaongozwa na Roho wa Mungu au la, Maana manabii wengi wa uongo wamezuka ulimwenguni.