Marko 14:23
Kisha akatwaa kikombe, akamshukuru Mungu, akawapa; nao wote wakanywa katika kikombe hicho.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he took the cup, and when he had given thanks, he gave it to them: and they all drank of it.
In Context
Cross References
Matthew 26:27Kisha akatwaa kikombe, akamshukuru Mungu, akawapa akisema, “Nyweni nyote;
Luke 22:17Kisha akatwaa kikombe, akashukuru akasema, “Pokeeni, mgawanye ninyi kwa ninyi.
1 Corinthians 10:16Tunapomshukuru Mungu kwa kikombe kile cha baraka, je, huwa hatushiriki damu ya Kristo? Na tunapoumega mkate, je, huwa hatushiriki mwili wa Kristo?