Marko 14:25
Kweli nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa upya katika Ufalme wa Mungu.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
26Kisha wakaimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni.
Cross References
Luke 22:16Maana nawaambieni, sitaila tena hadi hapo itakapokamilika katika Ufalme wa Mungu.”