Marko 14:28
Lakini nikisha fufuka, nitawatangulieni kule Galilaya.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
But after that I am risen, I will go before you into Galilee.
In Context
29Petro akamwambia “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakukana kamwe!”
Cross References
Matthew 26:32Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulieni Galilaya.”
Matthew 28:10Kisha Yesu akawaambia, “Msiogope! Nendeni mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, na huko wataniona.”
Mark 16:7Nendeni mkawaambie wanafunzi wake pamoja na Petro ya kwamba anawatangulieni kule Galilaya. Huko mtamwona kama alivyowaambieni.”
1 Corinthians 15:4kwamba alizikwa, akafufuka siku ya tatu kama ilivyoandikwa;