bible.software › Marko › Marko 14 › Marko 14:42
Marko 14:42
Amkeni, twendeni zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Rise up, let us go; lo, he that betrayeth me is at hand.
In Context
41Alipowajia mara ya tatu aliwaambia, “Mnalala bado na kupumzika? Sasa imetosha! Saa imefika! Mwana wa Mtu anakabidhiwa kwa watu waovu.
43Yesu alipokuwa bado anasema, Yuda, mmoja wa wale kumi na wawili, akafika pamoja na umati wa watu wenye mapanga na marungu. Watu hao walikuwa wametumwa na makuhani wakuu, walimu wa Sheria na wazee.
Read all of Marko 14
Cross References
Matthew 26:46Amkeni, twendeni zetu. Tazameni! Anakuja yule atakayenisaliti.”
This Verse In Other Editions
Study Marko 14:42