Marko 14:56
Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For many bare false witness against him, but their witness agreed not together.
In Context
57Kisha wengine walisimama, wakatoa ushahidi wa uongo wakisema:
Cross References
1 John 5:8Roho, maji na damu; na ushahidi wa hawa watatu waafikiana.