Marko 15:12
Pilato akawauliza tena, “Basi, sasa mwataka nifanye nini na mtu huyu mnayemwita Mfalme wa Wayahudi?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
11Lakini makuhani wakuu wakawachochea watu wamwombe Pilato awafungulie Baraba.
13Watu wote wakapaaza sauti tena: “Msulubishe!”
Cross References
Matthew 2:2wakauliza, “Yuko wapi mtoto, Mfalme wa Wayahudi, aliyezaliwa? Tumeiona nyota yake ilipotokea mashariki, tukaja kumwabudu.”
Matthew 27:22Pilato akawauliza, “Sasa, nifanye nini na Yesu aitwaye Kristo?” Wote wakasema, “Asulubiwe!”
Mark 15:1Kulipopambazuka, makuhani wakuu walifanya shauri pamoja na wazee, walimu wa Sheria na Baraza lote, wakamfunga Yesu pingu, wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato.
Luke 23:20Pilato alitaka kumwachilia Yesu, hivyo akasema nao tena;