Marko 15:17
Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they clothed him with purple, and platted a crown of thorns, and put it about his head,
In Context
16Kisha askari walimpeleka Yesu ndani ukumbini, katika ikulu, wakakusanya kikosi kizima cha askari.
18Wakaanza kumsalimu, “Shikamoo Mfalme wa Wayahudi!”
Cross References
Luke 23:11Basi, herode pamoja na maaskari wake, wakamwaibisha Yesu na kumfanyia mzaha; kisha wakamvika vazi la kifalme, wakamrudisha kwa Pilato.