bible.software › Marko › Marko 15 › Marko 15:20
Marko 15:20
Baada ya kumdhihaki, walimvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when they had mocked him, they took off the purple from him, and put his own clothes on him, and led him out to crucify him.
In Context
19Wakampiga kichwani kwa mwanzi, wakamtemea mate; wakampigia magoti na kumsujudia.
21Walipokuwa njiani, walikutana na mtu mmoja aitwaye Simoni, mwenyeji wa Kurene. Yeye alikuwa baba wa Aleksanda na Rufo, na wakati huo alikuwa akitoka shambani. Basi, wakamlazimisha auchukue msalaba wa Yesu.
Read all of Marko 15
Cross References
Matthew 27:31Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha.
This Verse In Other Editions
Study Marko 15:20