Marko 15:22
Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, “Mahali pa Fuvu la Kichwa.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they bring him unto the place Golgotha, which is, being interpreted, The place of a skull.
In Context
23Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye akaikataa.
Cross References
Matthew 27:33Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, “Mahali pa Fuvu la kichwa,”
John 19:17Naye akatoka akiwa amejichukulia msalaba wake kwenda mahali paitwapo “Fuvu la Kichwa”, (kwa Kiebrania Golgotha).