Marko 15:36
Mtu mmoja akakimbia, akachovya sifongo katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe akisema, “Hebu tuone kama Eliya atakuja kumteremsha msalabani!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
35Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Eliya!”
37Yesu akapaaza sauti kubwa, akakata roho.
Cross References
Luke 23:36Askari nao walimdhihaki pia; walimwendea wakampa siki