Marko 15:7
Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
8Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida yake.
Cross References
Matthew 27:16Wakati huo kulikuwa na mfungwa mmoja, jina lake Baraba.
Luke 23:25Akamfungua kutoka gerezani yule waliyemtaka, ambaye alikuwa ametiwa gerezani kwa sababu ya uasi na kuua; akamtoa Yesu kwao, wamfanyie walivyotaka.