Marko 16:8
Basi, wakatoka pale kaburini mbio, maana walitetemeka kwa hofu na kushangaa. Hawakumwambia mtu yeyote kitu, kwa sababu waliogopa mno.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 28:8Wakiwa wenye hofu na furaha kubwa, hao wanawake walitoka upesi kaburini, wakakimbia kwenda kuwaambia wanafunzi wake.
Luke 10:4Msichukue mfuko wa fedha, mkoba, wala viatu; msimsalimu mtu yeyote njiani.
Luke 24:22Tena, wanawake wengine wa kwetu wametushtua. Walikwenda kaburini mapema asubuhi,