Marko 3:25
Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And if a house be divided against itself, that house cannot stand.
In Context
24Ikiwa utawala mmoja umegawanyika makundimakundi yanayopigana, utawala huo hauwezi kudumu.
26Ikiwa basi, utawala wa Shetani umegawanyika vikundivikundi hauwezi kudumu, bali utaangamia kabisa.
Cross References
James 3:16Maana popote palipo na wivu na ubinafsi hapo pana fujo na kila aina ya uovu.